OBSTETRIC AND GYNAECOLOGY
Posted on: June 15th, 2025Gynaecology or gynecology is the area of medicine that involves the treatment of women's diseases, especially those of the reproductive organs. It is often paired with the field of obstetrics, forming the combined area of obstetrics and gynaecology
-
- huduma za akina mama wajawazito kuanzia wiki ya 28
- huduma za kujifungua kawaida
- huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji
- huduma za akina mama wenye ugonjwa /ujauzito ulio katika hatari kubwa kuanzia wiki ya 28 na kuendelea
- huduma za kliniki kwa akina mama waliojifungua
- huduma za ushauri kwa akina mama wajawazito na wale waliokwisha kujifungua
- huduma za matibabu kwa akina mama waliopata changamoto baada ya kujifungua
- huduma ya uzazi wa mpango kwa akina mama waliojifungua hadi siku ya 42
- huduma za awali kwa watoto wachanga baada ya kuzaliwa
- huduma ya kutoa elimu ya afya kwa akina mama wajawazito, waliojifungua na wanaoendelea na mahudhurio ya kliniki mara baada ya kujifungua
- uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi
- elimu na uchunguzi wa fistula ya uzazi na kuchanika msamba
- elimu kuhusu uzazi salama