Our Services
- Kufanya uchunguzi/ tathmini kwa wagonjwa wenye matatizo ya kijamii au kisaikolojia [ social and psycho-social problem) ili kujua jinsi ya kushughulikia
 - Kutoa ushauri kwa wagonjwa na/ au ndugu wa wagonjwa waliobainika kua na matatizo ya kijamii au kis...
 
Huduma kwa Wagonjwa wa Ndani
- Kupitia taratibu za uchunguzi wa kitabibu utambuzi wa magonjwa hufanyika na kuhakikisha matibabu sahihi hutolewa kwa kila mgonjwa.
 - Mzunguko wa kuona wagonjwa Wodini Hufanywa kila siku asubuhi.
 - Kushauriana na Idara ny...
 
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:
- Upasuaji wa Mifupa
 - Upasuaji Jumuishi
 - Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
 - Magonjwa ya watoto
 
	
	
	
	

	
Idara ya Wagonjwa wa dharula na ajali
Idara hii ni moja kati ya Idara zilizokamilika na kujitosheleza kihuduma
Huduma tunazotoa:
Kitengo cha wagonjwa wa nje (OPD)
- Huduma ya kuonwa na daktari
 - Uchunguzi wa kitabibu
 - Huduma za...
 

 
 
Daktari wa Meno akimfanyia uchunguzi wa kinywa na meno mteja
Majukumu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari( TEHAMA)
- Kutayarisha mpango Mkakati wa kuhusu teknolojia ya habari na mawasiliano, Miongozo na taratibu kwa kuzingatia Sera ya Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
 - Kuishauri Menejimenti ya halm...