HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO (CZRH) YAZIDI KUIMARIKA KATIKA HUDUMA ZA MAABARA NA UCHUNGUZI KWA KUANZISHA HUDUMA YA UOTESHAJI VIJIDUDU (CULTURE AND SENSITIVITY)

Posted on: January 16th, 2024

*Kutoka kutoa huduma saidizi 13 za vipimo maabara mwaka 2021, hadi sasa zaidi ya vipimo 100 vinafanyika maabara.

*Kutoka kutoa huduma za vipimo maabara tukiwa na watumishi wawili (2) hadi sasa watumishi 17 wa maabara.

Karibu tuungane na Kaimu Mkurugenzi wa huduma za tiba saidizi, Mteknolojia Maulid Mahendeka Japhary akieleza historia fupi ya uanzishwaji wa huduma hizi, mafanikio na matarajio yetu kuhakikisha huduma zote za vipimo muhimu vya maabara vinakuwepo katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato

#Asante Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan
#Asante Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
#Asante Wizara ya Afya
#Asante Mhe. Ummy Mwalimu

“Uadilifu, Uvumbuzi, Matibabu na Kujifunza”

Copyright ©2022 CHATOZRH . All rights reserved.