Katibu Mkuu Wizara ya afya Prof Abel Makubi Akitembelea hospitali ya kanda ya rufaa chato

Posted on: March 17th, 2022

katibu mkuu wizara ya afya Prof Abel makubi akitembelea miradi ya ujenzi Hospitali ya kanda ya rufaa ya chato mkoani Geita, alipongeza kwani hatua ya kwanza na ya pili inaendela vizuri.

hospitali kwa sasa imeshaanza kutoa huduma za kibingwa kwa wagonjwa kwa mfano upasuaji wa mifupa inayoendelea kwa sasa na madaktari bingwa wa mifupa.

Copyright ©2022 CHATOZRH . All rights reserved.