Makamu wa rais mstaafu wa jamuhuri ya muungano wa tanzania mhe. mohamed Gharib bilal atembelea hospitali ya rufaa ya kanda chato

Posted on: March 18th, 2022

Mkamu wa rais mstaafu wa Jamuhuri ya muungano wa tanzania Mhe. Mohamed Ghalrib Bilal ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda chato na ameridhishwa na maendeleo ya mradi kwa ujumla pamoja na huduma za afya zilizoanza kutolewa na wataalam wa Afya. 


Amesema, "Nimefurahi kuona maendeleo ya kazi ya Hospitali hii. Hii ni ishara njema tunamuomba Mwenyezi Mungu ajalie mafanikio mama kwa haraka"

Copyright ©2022 CHATOZRH . All rights reserved.