siku ya afya ya kinywa na meno duniani
Posted on: March 16th, 2022katika kuadhimisha wiki ya afya ya kinywa na meno duniani tukiongozwa na kauli mbiu "JIVUNIE KINYWA CHAKO KWA USTAWI WA AFYA YAKO", siku ya tarehe 20/03/2022 madaktari wa meno kutoka Hospitali ya kanda ya rufaa-chato watatembelea shule za msingi na kufanya uchunguzi wa magonjwa ya kinywa na meno, kutoa elimu kwa wanafunzi na wananchi watakaofika.
"tunashauri umtembelee Daktari wa Kinywa na meno angalau mara mbili kwa mwaka kwa ajili ya uchunguzi wa afya ya kinywa na meno".
