siku ya mwanamke duniani "KIZAZI CHA HAKI NA USAWA KWA MAENDELEO ENDELEVU; TUJITOKEZE KUHESABIWA"
Posted on: March 8th, 2022ikiwa ni siku ya mwanamke duniani, wanawake wote wauguzi na watumishi wa hospitali ya kanda ya rufaa chato wameungana na wanawake wenzao kote duniani kusherehekea siku ya mwanamke duniani huku wakiwa na kauli mbiu " KIZAZI CHA HAKI NA USAWA KWA MAENDELEO ENDELEVU; TUJITOKEZE KUHESABIWA".
Matroni wa hospitali ya kanda ya rufaa chato Fadhila Mwambene amesema " Mwanamke usikubali kubaki nyuma, jitokeze kuhesabiwa"
