Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato inatoa huduma kwa wanufaika wa mfuko wa bima ya afya ya Strategis.... Read More
News
Wakuu wa idara,vitengo na watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) leo Januari 17, 2024, wamepokea mafunzo ya matumizi ya mifumo ya utumishi (PEPMIS) yenye lengo la upimaji uten... Read More
*Kutoka kutoa huduma saidizi 13 za vipimo maabara mwaka 2021, hadi sasa zaidi ya vipimo 100 vinafanyika maabara. *Kutoka kutoa huduma za vipimo maabara tukiwa na watumishi wawili (2) ha... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imeanza kutoa huduma ya uzalishaji wa hewa tiba ya Oksijeni (Oxygen Plant), hii ni mara baada ya kukamilika kwake. Mradi huu ni juhudi za Serikali ya awamu ... Read More
Hospitali inatoa huduma za afya kwa wanufaika na wanachama wanufaika wa mfuko wa bima ya afya ya Assemble.... Read More
Wataalamu na Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato, wameendelea kutoa huduma za afya ikiwa ni pamoja na kufanya uchunguzi wa viashiria mbalimbali vya magonjwa yasiyoambukizwa, upima... Read More
7 Novemba,2023. Zaidi ya wananchi 250 wamejitokeza kufanyiwa uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya watoto, magonjwa ya wanawake na uzazi, magonjwa ya mifupa na viungo, magonjwa ya upasuaji ... Read More
Wataalamu na Madaktari bingwa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato kwa kushirikiana na Madaktari wa Hospitali ya Wilaya ya Nyang'hwale, leo 02 Novemba, 2023 wameendelea na zoezi la utoaji hu... Read More
Wananchi wa wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita, wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika hospitali ya wilaya hiyo ndani ya siku tano za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya wanawake na uzazi, ... Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato, Dkt. Briac C Mawalla ashiriki hafla fupi ya uzinduzi wa ripoti ya afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria tanzania ya mwaka ... Read More