Wizara ya Afya katika Kuhakikisha inaendelea kuimarisha afua ya utoaji huduma za tiba kwa magonjwa ya mlipuko ikiwemo UVIKO-19, imeendelea kuwajengea uwezo watoa Huduma za Afya kwa kuwapatia... Read More
News
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato wamepata mafunzo ya matumizi ya mfumo wa utunzaji mali za Serikali (GAMIS).Mafunzo haya yatakayodumu kwa siku nne, ambapo Maafisa manunuzi,Waha... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imepokea wageni kutoka Global Health Care ambao wanafanya kazi zao katika mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Tanzania-Uganda lenye urefu wa kilomit... Read More
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato leo Agosti 18 2023, umepokea wageni kutoka @wizara_afyatz na @mwachas_bugando na kufanya mazungumzo ambayo yana lengo la kuboresha na k... Read More

Huduma za matibabu ya magonjwa ya mifupa na viungo zinapatikana katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato... Read More

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzani aliahidi na anaendelea kutekeeleza kupitia Wizara ya Afya chini ya Waziri wake Mhe. Ummy Mwalimu ambapo aliahidi ku... Read More

Utoaji wa huduma za CT-SCAN katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato unaenda sambamba na uwekezaji wa vifaa vya kisasa uliotekelezwa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya ... Read More

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imekuja na mpango madhubuti katika kuokoa Vifo vitokanavyo na Uzazi ambapo Huduma za uzazi na kujifungua zinatolewa kwa kuwashirikisha watu wa karibu wa Mam... Read More

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato sasa inapokea wagonjwa wenye Bima ya Afya ya NHIF kupata Huduma ya Kuchuja na kusafisha Damu (Hemodialysis) masaa 24.... Read More

Watumishi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato wamepokea mafunzo elekezi ya kiutumishi ikiwa ni pamoja na mafunzo ya namna bora ya utoaji huduma sahihi na elekezi kwa wananchi wote wanao... Read More