HUDUMA ZA KIBINGWA
Posted on: January 19th, 2025Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:
- Upasuaji wa Mifupa
- Upasuaji Jumuishi
- Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
- Magonjwa ya watoto
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo: