Our Services

 • Kufanya uchunguzi/ tathmini kwa wagonjwa wenye matatizo ya kijamii au kisaikolojia [ social and psycho-social problem) ili kujua jinsi ya kushughulikia
 • Kutoa ushauri kwa wagonjwa na/ au ndugu wa wagonjwa waliobainika kua na matatizo ya kijamii au kis...
readmore

Huduma kwa Wagonjwa wa Ndani

 • Kupitia taratibu za uchunguzi wa kitabibu utambuzi wa magonjwa hufanyika na kuhakikisha matibabu sahihi hutolewa kwa kila mgonjwa.
 • Mzunguko wa kuona wagonjwa Wodini Hufanywa kila siku asubuhi.
 • Kushauriana na Idara ny...
readmore

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:

 • Upasuaji wa Mifupa
 • Upasuaji Jumuishi
 • Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
 • Magonjwa ya watoto

readmore


Idara ya Wagonjwa wa dharula na ajali

Idara hii ni moja kati ya Idara zilizokamilika na kujitosheleza kihuduma 

Huduma tunazotoa:

Kitengo cha wagonjwa wa nje (OPD)

 1. Huduma ya kuonwa na daktari
 2. Uchunguzi wa kitabibu
 3. Huduma za...

readmoreDaktari wa Meno akimfanyia uchunguzi wa kinywa na meno mteja

readmore

Majukumu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari( TEHAMA)

 • Kutayarisha mpango Mkakati wa kuhusu teknolojia ya habari na mawasiliano, Miongozo na taratibu kwa kuzingatia Sera ya Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
 • Kuishauri Menejimenti ya halm...
readmore
Copyright ©2022 CHATOZRH . All rights reserved.