Huduma za matibabu ya magonjwa ya mifupa na viungo zinapatikana katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato... Read More

Huduma za matibabu ya magonjwa ya mifupa na viungo zinapatikana katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato... Read More
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzani aliahidi na anaendelea kutekeeleza kupitia Wizara ya Afya chini ya Waziri wake Mhe. Ummy Mwalimu ambapo aliahidi ku... Read More
Utoaji wa huduma za CT-SCAN katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato unaenda sambamba na uwekezaji wa vifaa vya kisasa uliotekelezwa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya ... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imekuja na mpango madhubuti katika kuokoa Vifo vitokanavyo na Uzazi ambapo Huduma za uzazi na kujifungua zinatolewa kwa kuwashirikisha watu wa karibu wa Mam... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato sasa inapokea wagonjwa wenye Bima ya Afya ya NHIF kupata Huduma ya Kuchuja na kusafisha Damu (Hemodialysis) masaa 24.... Read More
Watumishi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato wamepokea mafunzo elekezi ya kiutumishi ikiwa ni pamoja na mafunzo ya namna bora ya utoaji huduma sahihi na elekezi kwa wananchi wote wanao... Read More
Mkuu wa wilaya ya Chato Mhe.Martha Mkupasi leo Tarehe 1 Novemba 2022 amekata utepe kuashiria kuzindua kliniki ya Uchunguzi wa magonjwa ya Moyo wakati wa ufunguzi wa kambi maalumu ya matibabu... Read More
Kuanzia tarehe 31/10/2022 hadi 04/11/2022 kutakuwa na kambi maalum kwa ajili ya matibabu ya Moyo itakayofanyika katika Viwanja vya Hospitali ya rufaa ya kanda Chato kwakushirikiana na madakt... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aahidi Hospitali Rufaa ya Kanda - Chato kujengwa kama ilivyokusudiwa Rais Samia Ametoa ahadi hio leo katika ziara yake y... Read More
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imepokea bilioni 18 kwa ajili ya vifaa tiba vya kisasa kama CT - scan, MRI, Thioroscope na ECHO kwa ajili ya ubore... Read More