Welcome Chato ZRH
profile

DR BRIAN C. MAWALLA
EXECUTIVE DIRECTOR

Welcome to Chato zonal refferal hospital, this hospital is located at Chato District near with the Lake Victoria. Our expectation is to provide the services that you deserve regardless of religion, ethnicity, income, race, gender, age or nation. On behalf of the entire Chato Zonal Referral Hospital team, I would like to welcome you to experience ou...Read more

Services And Facilities
 • Kufanya uchunguzi/ tathmini kwa wagonjwa wenye matatizo ya kijamii au kisaikolojia [ social and psycho-social problem) ili kujua jinsi ya kushughulikia
 • Kutoa ushauri kwa wagonjwa na/ au ndugu wa wagonjwa waliobainika kua na matatizo ya kijamii au kis...
readmore

Huduma kwa Wagonjwa wa Ndani

 • Kupitia taratibu za uchunguzi wa kitabibu utambuzi wa magonjwa hufanyika na kuhakikisha matibabu sahihi hutolewa kwa kila mgonjwa.
 • Mzunguko wa kuona wagonjwa Wodini Hufanywa kila siku asubuhi.
 • Kushauriana na Idara ny...
readmore

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:

 • Upasuaji wa Mifupa
 • Upasuaji Jumuishi
 • Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
 • Magonjwa ya watoto

readmore


Idara ya Wagonjwa wa dharula na ajali

Idara hii ni moja kati ya Idara zilizokamilika na kujitosheleza kihuduma 

Huduma tunazotoa:

Kitengo cha wagonjwa wa nje (OPD)

 1. Huduma ya kuonwa na daktari
 2. Uchunguzi wa kitabibu
 3. Huduma za...

readmoreDaktari wa Meno akimfanyia uchunguzi wa kinywa na meno mteja

readmore
Recent News and Updates
image description
KLINIKI YA MIFUPA NA VIUNGO...
Posted on: August 2nd, 2023

Huduma za matibabu ya magonjwa ya mifupa na viungo zinapatikana katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato...Read more

image description
HUDUMA ZA MRI SASA ZINAPATIKANA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO...
Posted on: July 28th, 2023

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzani aliahidi na anaendelea kutekeeleza kupitia Wizara ya Afya chini ya Waziri wake Mhe. Ummy Mwalimu ambapo aliahidi kuleta vifaa tiba na kuijenga Hospitali ya Rufa...Read more

image description
UTEKELEZAJI WA MIRADI YA AFYA...
Posted on: March 12th, 2023

Utoaji wa huduma za CT-SCAN katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato unaenda sambamba na uwekezaji wa vifaa vya kisasa uliotekelezwa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...Read more

image description
HUDUMA ZA UCHUNGUZI NA UZAZI SHIRIKISHI( COMPANIONSHIP LABOUR AND DERIVERY)...
Posted on: February 28th, 2023

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imekuja na mpango madhubuti katika kuokoa Vifo vitokanavyo na Uzazi ambapo Huduma za uzazi na kujifungua zinatolewa kwa kuwashirikisha watu wa karibu wa Mama mjamzito na mmoja wa watu wa karibu (hasa m...Read more

image description
WATUMIAJI WA BIMA YA NHIF SASA WANANUFAIKA NA MATIBABU YA KUCHUJA DAMU (HEMODIALYSIS)...
Posted on: February 21st, 2023

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato sasa inapokea wagonjwa wenye Bima ya Afya  ya NHIF kupata Huduma ya Kuchuja na kusafisha Damu (Hemodialysis) masaa 24....Read more

Patients Visiting Hours
VISITING HOURS

Including Public Holidays
Morning06:00 - 07:00
Noon12:30 - 14:00
Evening16:00 - 18:00
Latest Video
Clinics
Copyright ©2022 CHATOZRH . All rights reserved.