Timu ya uchunguzi na ufuatiliaji wa madhara yatokanayo na dawa, chanjo na vifaa tiba CZRH, imeendesha zoezi la kusikiliza na kutoa elimu kwa wagonjwa na watumishi.
Posted on: March 21st, 2025Timu ya uchunguzi na ufuatiliaji wa madhara yatokanayo na dawa, chanjo na vifaa tiba CZRH, imeendesha zoezi la kusikiliza na kutoa elimu kwa wagonjwa na watumishi namna ya utoaji taarifa wapatapo maudhi na madhara yatokanayo na matumizi ya dawa na vifaa tiba.
