huduma ya matatizo ya mifupa iliyovunjika na upasuaji katika Hospitali ya Kanda ya Rufaa-Chato
Posted on: March 16th, 2022wakati huduma ya matatizo ya mifupa iliyovunjika na upasuaji ikiendelea, madaktari bingwa hospitali ya Kanda ya rufaa - Chato wameweza kufanikisha kutoa huduma hiyo kwa usalama kabisa na weledi kwa baadhi ya wagonjwa waliojitokeza. Hivyo kwa wale wenye matatizo ya mifupa mnakaribishwa mpatae huduma hiyo. kwani ni huduma endelevu kwa muda wa siku kumi tangu tarehe 15/03/2022
