HUDUMA ZA MRI SASA ZINAPATIKANA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO

Posted on: July 28th, 2023

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzani aliahidi na anaendelea kutekeeleza kupitia Wizara ya Afya chini ya Waziri wake Mhe. Ummy Mwalimu ambapo aliahidi kuleta vifaa tiba na kuijenga Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato kama ilivyokusudiwa na sasa ametekeleza kwa kuleta mashine za uchunguzi ikiwa ni pamoja na mashine ya MRI ambayo tayari imesimikwa na inafanya kazi.

Copyright ©2022 CHATOZRH . All rights reserved.