HUDUMA ZA UCHUNGUZI NA UZAZI SHIRIKISHI( COMPANIONSHIP LABOUR AND DERIVERY)
Posted on: February 28th, 2023Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato imekuja na mpango madhubuti katika kuokoa Vifo vitokanavyo na Uzazi ambapo Huduma za uzazi na kujifungua zinatolewa kwa kuwashirikisha watu wa karibu wa Mama mjamzito na mmoja wa watu wa karibu (hasa mwenza) kuanzia kipindi chote cha uchungu hadi kujifungua (kujifungua kawaida) masaa 24
