KAMBI MAALUM YA MATIBABU YA MOYO KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO (CZRH)

Posted on: October 26th, 2022

Kuanzia tarehe 31/10/2022 hadi 04/11/2022 kutakuwa na kambi maalum kwa ajili ya matibabu ya Moyo itakayofanyika katika Viwanja vya Hospitali ya rufaa ya kanda Chato kwakushirikiana na madaktari bingwa wa hospitali ya Rufaa ya kanda Chato(CZRH) na madaktari bingwa bobezi wa hospitali ya taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI).

Copyright ©2022 CHATOZRH . All rights reserved.