KLINIKI YA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO.
Posted on: May 16th, 2024Madaktari bingwa na bobezi kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete wanatarajia kuendelea na zoezi la uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wananchi wa kanda ya ziwa yaani watoto na watu wazima zoezi litakalofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato