MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRZ DUNIANI KITAIFA NA KIMATAIFA KUFANYIKA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO.

Posted on: May 30th, 2024

Kuelekea katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya mazingira duniani kitaifa na kimataifa, kanda ya ziwa yatafanyika katika Wilaya ya Chato iliyopo Mkoa wa Geita 01 Juni, 2024.

Maadhimisho haya yatazinduliwa kwa kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH).

Kauli mbiu “Urejeshwaji wa ardhi iliyoharibika, ustahimilivu wa hali ya jangwa na ukame”

Wananchi wote wa kanda ya ziwa tunakaribishwa katika uzinduzi, karibu tuungane pamoja katika usafi wa mazingira ndani ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato.

Copyright ©2022 CHATOZRH . All rights reserved.