MADAKTARI BINGWA WA UPASUAJI KUTOKA WIZARA YA AFYA KUWEKA KAMBI YA UPASUAJI NA MATIBABU YA MDOMO SUNGURA (CLEFT LIP) KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO, SEPTEMBA 9 2024.
Posted on: September 6th, 2024Kambi ya upasuaji na matibabu ya mdomo sungura kwa watoto kuanza 9 Septemba, 2024 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato.