NYUMBA ZA WATUMISHI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO

Posted on: May 31st, 2022

Kiu ya watumishi wa hospitali ya rufaa ya kanda chato ya kumiliki nyumba zilizojengwa za kuishi watumishi, leo tarehe 31 Mei, 2022 imeisha baada ya Muhandisi Mwakalinga kwa niaba ya katibu Mkuu kukabidhi rasmi funguo za nyumba 20 kwa Kaimu Mkurugenzi Dr Marygoleth Changalucha wa Hospitali hii.

Copyright ©2022 CHATOZRH . All rights reserved.