SERIKALI YATOA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA WA DHARULA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO.
Posted on: May 8th, 2024Serikali imetoa magari mawili ya kubebea wagonjwa na gari moja kwa ajili ya shughuli za utawala.
Serikali imetoa magari mawili ya kubebea wagonjwa na gari moja kwa ajili ya shughuli za utawala.