UPIMAJI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO NA MISHIPA YA DAMU
Posted on: July 10th, 2024Madaktari bingwa na bingwa bobezi kutoka taasisi ya moyo ya jakaya kikwete wakishirikiana na madaktari wa hospitali na wataalamu wa hospitali ya rufaa ya kanda chato wataendelea na uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu.