UTEKELEZAJI WA MIRADI YA AFYA
Posted on: March 12th, 2023Utoaji wa huduma za CT-SCAN katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato unaenda sambamba na uwekezaji wa vifaa vya kisasa uliotekelezwa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Wananchi wote wa malipo ya mkononi na wanachama wa Bima ya NHIF mnakaribishwa.
