WATUMIAJI WA BIMA YA NHIF SASA WANANUFAIKA NA MATIBABU YA KUCHUJA DAMU (HEMODIALYSIS)
Posted on: February 21st, 2023Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato sasa inapokea wagonjwa wenye Bima ya Afya ya NHIF kupata Huduma ya Kuchuja na kusafisha Damu (Hemodialysis) masaa 24.